NUKUU MARIDHAWA

 "Vyombo vya habari vina mchango mkubwa katika kuimarisha au kubomoa umoja wa kitaifa. Navipongeza vyombo vya habari vya zanzibar kwa kuchagua kujenga na kuimarisha umoja, maelewano, amani na utulivu wa nchi yetu katika mchakato wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020,".

Ni kauli ya Mkuu wa mkoa wa Mjini Maghraibi, Idrissa Kitwana Mustafa, alipokuwa akifungua mafunzo ya waandishi wa habari juu ya kuandika habari za kuimarisha amani, uvumilivu wa kisiasa na utamaduni wa kupokea maoni tofauti kabla, wakati na baada ya uchaguzi yaliyoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari Zanzibar (#ZanzibarPressClub) kwa ufadhili wa #Internews Tanzania.

Comments

Popular posts from this blog

ZAMECO yakerwa na video ya udhalilishaji mtandaoni

Airtel Foundation yazindua mpango wa udhamini wa masomo kwa vijana

SMZ yawaita vijana kushiriki kilimo