TUTATOA USHIRIKIANO KUFANIKISHA MALENGO YA SADC  - HEMED

NA KASSIM ABDI, OMPR

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar amesema serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeipa kipau mbele sekta ya uchumi wa buluu unaoelekeza matumizi mazuri na endelevu ya rasilimali ya bahari ili wananchi wake waondokane na umaskini.

Mheshimiwa Hemed ameleza hayo wakati akifungua kongamano la maadhimisho ya miaka 40 ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) lililofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)  Kampasi ya Utalii Maruhubi.

Akizungumizia juu ya Lugha ya Kiswahili Makamu wa Pili wa Rais alilikumbusha Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA) kufuatilia maelekezo yaliotolewa na serikali kupitia Kongamano la kiswahili lililofanyika mwaka 2020.

Katika kongamano hilo Kwa niaba ya serikali zote mbili Makamu wa Pili wa Rais ameahidi kwamba serikali zitaendelea kutoa ushirikiano katika kuhakikishwa malengo ya Jumuiya yanafanikiwa.

Nae, mwakilishi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambae pia ni Mkurugenzi wa Mambo ya nje Ofisi ya Zanzibar, Masoud Balozi alikipongeza chuo Kikuu cha Taifa (SUZA) kwa kusema

Kwa Upande wake Makamu Mkuu wa chuo cha Taifa cha Zanzibar, Dk. Zakia Abubakar, alishukuru wizra ya mambo ya nje kwa kukichagua chuo cha Taifa Zanzibar kuwa mwenyeji wa kuandaa kongamano hilo.



Comments

Popular posts from this blog

ZALIRI, FLI zaingia makubaliano kuimariusha sekta mifugo

Ibueni changamoto zinazokamisha usawa wa kijinsia - Simbaya

Uislam unakubali uzazi wa mpango