MATUKIO MBALI MBALI YALIYOAMBATANA NA MKUTANO MKUU MAALUM WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR - ZPC

Mkutano mkuu maalum wa ZPC ulifanyika Disemba 26, 2022 katika ukumbi wa Uhuru ZSSF Kariakoo Zanzibar

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita, akihutubia kuufungua mkutano 
Wanachama wakifuatilia maelezo na hotuba zilizokua zikitolewa


Mwenyekiti wa ZPC Abdallah Mfaume (kushoto) akiteta jambo na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita, mara baada ya kuufungua mkutano mkuu malum. 

Katibu Mkuu wa ZPC, Mwinyimvua Nzukwi (kushoto) akitoa maelezo kabla ya Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita, kuokea na kugawa zawadi za vitabu vya kanuni za usambazaji maudhui mitandaoni kwa waandishi wa habari na wawakilishi wa taasisi za kihabari waliohudhuria


Wanachama wakifuatilia maelezo na hotuba zilizokua zikitolewa

Wanachama wakifuatilia maelezo na hotuba zilizokua zikitolewa

Mwenyekiti wa ZPC Abdallah Mfaume (kushoto) akimkabidhi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita, ripoti ya madhila kwa waandishi wa habari 2021 na kanuni za usambazaji  maudhui mtandaoni zilizoandaliwa na Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC). 


Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita, akimkabidhi Mkuu wa Idara ya mafunzo ya kompyuta na uandishi wa habari, Chuo kikuu cha taifa zanzibar (SUZA), Iamane Duwe, ripoti ya madhila kwa waandishi wa habari 2021 na kanuni za usambaji wa maudhui mtandaoni zilizoandaliwa na Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) . 

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita, akimkabidhi Afisa mwandamizi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Shifaa Hassan, ripoti ya madhila kwa waandishi wa habari 2021 na kanuni za usambaji wa maudhui mtandaoni zilizoandaliwa na Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC). 


Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita, akimkabidhi Mhadhiri wa Chuo kikuu Zanzibar (ZU), Suleiman Seif Omar, ripoti ya madhila kwa waandishi wa habari 2021 na kanuni za usambaji wa maudhui mtandaoni zilizoanfdaliwa na Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC). 

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita, akimkabidhi Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Redio, Mlekwa Muhidin, ripoti ya madhila kwa waandishi wa habari 2021 na kanuni za usambaji wa maudhui mtandaoni zilizoandaliwa na Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) . 


Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita, akimkabidhi Afisa Habari mwandamizi wa Idara ya habari maelezo Zanzibar, Mwashungi Tahir, Shifaa Hassan, ripoti ya madhila kwa waandishi wa habari 2021 na kanuni za usambaji wa maudhui mtandaoni zilizoandaliwa na Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) . 


Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita, akimkabidhi Mmiliki na mwendeshaji wa Kisandu Blog, Aboubakar Kisandu, kanuni za usambaji wa maudhui mtandaoni zilizoandaliwa na Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) . 

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita, akimkabidhi Mtangazaji wa kituo cha Mjini FM, Kudra Mawazo, ripoti ya madhila kwa waandishi wa habari 2021 na kanuni za usambaji wa maudhui mtandaoni zilizoandaliwa na Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC). 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita, akimkabidhi Mtangazaji wa kituo cha ZBC TV, Khamisuu Ali, ripoti ya madhila kwa waandishi wa habari 2021 na kanuni za usambaji wa maudhui mtandaoni zilizoandaliwa na Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) .
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita (katikati walioketi), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Kamati Tendaji ya ZPC

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita (katikati walioketi), akiwa katika picha ya pamoja na wakufunzi wa mafunzo yaliyotolewa na ZPC katika mwaka 2022.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita (katikati walioketi), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa ZPC 
 







Comments

Popular posts from this blog

ZALIRI, FLI zaingia makubaliano kuimariusha sekta mifugo

Ibueni changamoto zinazokamisha usawa wa kijinsia - Simbaya

Uislam unakubali uzazi wa mpango