HAFLA YA KUMUAPISHA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ILIYOFANYIKA DISEMBA 8, 2020 IKULU, ZANZIBAR

MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad (kulia) akila kiapo cha uaminifu kwa katika na rais wa zanzbar mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi.  

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, (kushoto) akimpongeza na kumkabidhi vitendea kazi Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamadi, baada ya kumuapisha kushika wadhifa huo.

MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad (kulia) akihutubia mara baada ya kula kiapo cha kushika wadhifa huo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, akihutubia waalikwa wakati wa hafla ya kumuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad.

MAKAMu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla (kushito),wakibadilishana mawazo na Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu, wakati wa hafla ya kuapishwa Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad.

VIONGOZI wa dini wakifuatilia kiapo cha Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif SHarif Hamad ikulu jijini Zanzibar.

VIONGOZI wa Vyama vya  ACT Wazalendo Zitto Zubeir Kabwe (kushoto), CCM  Abdalla Juma Sadalla (katikati) wakiwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi katika hafla ya  kuapishwa Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad.

BAADHI ya Mawaziri wa SMZ wakiwa katika hafla ya kuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad. (PICHA ZOTE NA MPIGA PICHA MAALUM).





















 

Comments

Popular posts from this blog

ZALIRI, FLI zaingia makubaliano kuimariusha sekta mifugo

Ibueni changamoto zinazokamisha usawa wa kijinsia - Simbaya

Uislam unakubali uzazi wa mpango