RAIS SAMIA APOKEA TAARIFA YA KIKOSI KAZI


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikosi Kazi hicho Profesa Rwekaza Mukandala Ikulu Jijini Dar es Salaam Machi 21, 2022.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa mara baada ya kupokea taarifa yao Ikulu Jijini Dar es Salaam Machi 21, 2022.

 

BAADHI ya Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani alipokuwa akizungumza nao mara baada ya kupokea Taarifa yao Ikulu Jijini Dar es Salaam Machi 21, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan (katikati mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa mara baada ya kupokea Taarifa yao Ikulu Jijini Dar es Salaam Machi 21, 2022.
(PICHA ZOTE NA IKULU, JMTZ).

 

Comments

Popular posts from this blog

ZALIRI, FLI zaingia makubaliano kuimariusha sekta mifugo

Ibueni changamoto zinazokamisha usawa wa kijinsia - Simbaya

Uislam unakubali uzazi wa mpango