Semina ya Makatibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii Baraza la Wawakilishi



MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk. Jabir Bakari akitoa salamu za mamlaka hiyo kabla ya ufunguzi wa semina ya Makatibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi kuhusu dhana ya wasambazaji maudhui katika utangazaji iliyofanyika katika hoteli ya Madinatul Bahar iliyopo Mbweni Unguja. Seminahiyo imeandaliwa na Tume ya Utangazaji Zanzibar (ZBC) na kudhaminiwa na TCRA.

WAZIRI wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Rahma Kassim Ali, akifungua semina kwa Makatibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi kuhusu dhana ya wasambazaji maudhui katika utangazaji iliyofanyika katika hoteli ya Madinatul Bahar iliyopo Mbweni Unguja. Semina hiyo imeandaliwa na Tume ya Utangazaji Zanzibar (ZBC) na kudhaminiwa na TCRA. 

MWENYEKITI wa Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi, Mohammed Ahmada Salum, akitoa neno la shukrani katika semina kwa Makatibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi kuhusu dhana ya wasambazaji maudhui katika utangazaji iliyofanyika katika hoteli ya Madinatulul Bahar Mbweni Unguja. Semina hiyo imeandaliwa na Tume ya Utangazaji Zanzibar (ZBC) na kudhaminiwa na TCRA. 


KATIBU Mkuu Wizara ya Nchi, Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Dk. Omar Dadi Shajak, akifunga semina ya Makatibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi kwa niaba ya Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said, semina hiyo iliyojadili dhana ya wasambazaji maudhui katika utangazaji, iliandaliwa na Tume ya Utangazaji Zanzibar na kudhaminiwa na TCRA iliyofanyika katika hoteli ya Madinatul Bahar iliyopo Mbweni Unguja. 

WASHIRIKI wa semina ya dhana ya wasambazaji wa maudhui katika utangazaji wakisikiliza mada katika semina hiyo iliyoandaliwa na Tume ya Utangazaji Zanzibar na kudhaminiwa na TCRA iliyofanyika katika hoteli ya Madinatulul Bahar iliopo Mbweni Unguja. 


MHANDISI Andrew Kisaka kutoka TCRA, akitoa mada ya dhana ya wasambazaji wa maudhui katika utangazaji wakati wa seminakwa Makatibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati ya  Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi seminahiyo iliyoandaliwa na Tume ya Utangazaji Zanzibar na kudhaminiwa na TCRA ilifanyika katika hoteli ya Madinatul Bahar iliopo Mbweni Unguja.

KATIBU Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar (ZBC), Suleiman Abdulla Salim akitoa mada katika seminaya Makatibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi semina hiyo iliyoandaliwa na Tume ya Utangazaji Zanzibar na kudhaminiwa na TCRA iliyofanyika katika hoteli ya Madinatulul Bahar iliyopo Mbweni Unguja. 

KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Amour Hamil akichangia katika seminaya Makatibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi seminahiyo iliandaliwa na Tume ya Utangazaji Zanzibar na kudhaminiwa na TCRA ilifanyika katika hoteli ya Madinatul Bahar iliyopo Mbweni Unguja. (PICHA ZOTE NA HAROUB HUSSEIN).


 

Comments

Popular posts from this blog

ZALIRI, FLI zaingia makubaliano kuimariusha sekta mifugo

Ibueni changamoto zinazokamisha usawa wa kijinsia - Simbaya

Uislam unakubali uzazi wa mpango